RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo.
Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba...
Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya.
“Mashuka...
Agizo hilo limetolewa 23 Mei 2021, na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma.
Dk. Gwajima aliagiza watu hao wawe na sare maalum, zitakazowawezesha wazee kuwatambua. “Kila kituo lazima kiwe na nesi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.