vituo vya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Mchengerwa: Hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vya afya, hospitali

    Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali. Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya...
  2. C

    DOKEZO Kwa wale mnaotumia BIMA kutibiwa kwenye VITUO VYA AFYA hasa vya serikali fuatilieni hili kwa makini sana kuna wizi mkubwa, imekuwa biashara sasa

    Unapewa usaini karatasi ya BIMA halafu baada ya hapo unapewa dawa pungufu ya zile zilizo andikwa kwenye fomu ya bima au vipimo na wengine wanaenda mbali wanakwambia sehemu ya tarehe usiijaze na kuna dawa utaambiwa ukanunue maana pale hazipo lakini kiuhalisia dawa huwa zipo au kuna vipimo...
  3. Y

    FULL TEX AFYA KATAVI: Rais Samia amejenga Vituo Vya Afya 59, Zahanati 47 na kila Wilaya amejenga hospitali mpya moja ndani ya miaka minne

    == Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema: “Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 41.628 kwa sekta ya afya katika kipindi cha 2020/21–2024/25. Fedha hizi zimetumika...
  4. R

    Vituo vya Afya 1,000 vyafungwa Kenya kutokana na udanganyifu

    Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Akizungumza na Wakenya wanaoishi Uingereza, Rais Ruto alisema kuwa hatua hiyo inalenga kulinda uadilifu wa mpango huo mpya wa afya...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya ili kutoa huduma stahiki kwa wananchi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya ili viweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi. Dkt. Duagange ameyasema hayo Bungeni Jijini...
  6. D

    Badala kuongeza vituo vya afya na shule tunakimbilia kuongeza majimbo ya uchaguzi ambacho siyo kipaumbele kwa wananchi

    Hivi niwaulize ndugu zangu! Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo? Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo? Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa lakini yale ya hovyo ya kuongeza ulaji ndiyo wanayakimbilia! Gharama ya kulihudumia jimbo linaongeza...
  7. upupu255

    DC Kilindi, Hashim Mgandilwa azindua mfumo wa Centralized GOT-HOMIS kwa Vituo vya Afya vya Serikali

    Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  9. upupu255

    PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  10. Optimistic_

    Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  11. Rule L

    Nini husababisha watu wasirudi hospitali kurudia vipimo kuhakiki kama wamepona?

    Kama nilivyoeleza hapo juu. Ni kwanini watu wengi sana wanapoenda hospitali kutibiwa na kisha kuambiwa warudi kuhakiki vipimo iwapo wamepona hua hawarudi? Hupewa muda pengine baada ya wiki moja au mwezi warudi ila walio wengi hua hawarudi hata kama hakuna gharama za ziada. Je, wewe kwako...
  12. chiembe

    Jerry Silaa amepwaya Wizara ya Habari? Sasa aamua kuzindua miradi ya Maji, Vituo vya Afya na Chuo cha ufundi Mkalama ambazo si za Wizara yake!

    Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama. Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
  13. Stephano Mgendanyi

    Vituo vya Afya Vitano Vipya Vyajengwa Wilaya ya Hai

    VITUO VYA AFYA VITANO VIPYA VYAJENGWA WILAYA YA HAI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa kujenga vituo vya Afya Vitano katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Waziri wa...
  14. Nigrastratatract nerve

    Hospitali na vituo vya afya wakati wa Hayati Magufuli

    Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa: 1. Hospitali za Rufaa: - Hospitali 7: Hospitali za rufaa zilijengwa katika mikoa tofauti, ikiwa ni pamoja na...
  15. MDAU TZ

    NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    HUZUNI KUBWA. --- YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu 2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya kuwawezesha wanufaika wake kupata huduma hizo nchi nzima. Hadi sasa Mfuko umesajili jumla ya vituo...
  16. K

    Mwarobaini wa Bima ya afya kwa wote na rushwa kwenye vituo vya afya

    Katika huduma ambayo inazidi kuwa ghali na inachukua maisha ya watu wengi ni ukosefu wa huduma bora za afya Wakati mwingine watu hupoteza maisha si kwa kutokuwepo kwa madawa au wataalamu wa afya wenye uwezo bali ni kwasababu ya kukosa pesa za kugharamia matibabu na kutoa hongo kwa wahudumu...
  17. S

    Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

    Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto. Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi. Manaibu waziri, wakuu...
  18. A

    KERO Nyumba ya Ibada iliyo karibu na Kituo cha Afya ZAMZAM katika Manispaa ya Bukoba ni KERO kwa wagonjwa

    Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa wagonjwa. Mamlaka zinapaswa kuingilia kati hali sio nzuri kwani usumbufu ni mwingi sana kwa wagonjwa...
  19. JF Toons

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  20. JanguKamaJangu

    APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
Back
Top Bottom