Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

Safiriabdi

New Member
May 29, 2024
1
1
Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto.

Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi.

Manaibu waziri, wakuu wa wilaya, makatibu wasaidizi, wenyeviti wa halmashauri wafutwe ili pesa zipelekwe kwenye mipangilio mingine.
 
Uwe unafuatilia Hata hotuba,Kila kata Kuna Kituo Cha Polisi na kama hakipo wanatumia ofisi ya kata na Askari wapo.

Magari ya Wagonjwa yapo karibu Kila Kituo Cha Afya.

Samia hanaga kazi ndogo 👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1795895991498948786?t=UzgmaLJ0SsqQduV1asVVfA&s=19
 
Back
Top Bottom