vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Uzi wa vitu vizuri; vacuum bottles,lunch box ,jugs nk vipo hapa

    Travel 1pcs Reja Reja 60,000
  3. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo shuleni nilifundishwa kuwa.. kumbe siku hizi ni vitu tofauti!?

    PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE DICK ilikuwa ni NAME/JINA BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA SCREW ilikuwa TOOL/ZANA HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI BALLS...
  4. JamiiForums Tanzania Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi

    Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi: 1. Taarifa za Msingi - Title Block Jina la mradi - Mf: Nyumba ya Makazi ya Bw. Juma Ally Mmiliki - Jina kamili la mteja Mahali - Plot No, Block, Kitongoji, Kata, Wilaya Msanifu - Jina, saini, namba ya...
  5. JamiiForums Tanzania Vitu vya ajabu ajabu vyafukuliwa dimba la Mkapa

    Wakati ukarabati wa Dimba la Benjamin Mkapa ukiendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2027, baadhi ya mafundi wanaofanya kazi hiyo wamefukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa kwamba vilizikwa katika Uwanja huo mkubwa na maarufu zaidi nchini kwa imani za kishirikina. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!

    Wanabodi, Mimi ni mmoja wa wanabodi, mara moja moja siku za Jumapili, nitakuwa nawaletea nyuzi za mambo ya powers. Mamlaka Kuu kabisa ulimwenguni ni Mungu, kwa majina tofauti tofauti, Mungu Baba, God The Almighty, Mwenyeezi Mungu Subhanna wa Taalah, Allah, Yehova, Jehova, YEYE, I AM, etc...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitu ninavyotamani ningevijua mapema kwenye kumiliki gari, ningepunguza gharama nyingi sana

    Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

    Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment. Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri...
  9. JamiiForums Tanzania Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili. AY...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukubwa wa Mdomo/Vidole huakisi vitu vingi mwilini mwa binadamu

    Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu. Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Bangi inaweza kukufanya ukumbuke vitu ambavyo haijawahi kutokea kabisa. Unajiona uko New York kumbe uko Kigoma ndani ndani

    unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi Cc Vincenzo Jr
  12. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi

    vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii husababisha nyufa kwenye kuta na msingi. Haya mambo 8 muhimu ya kuzingatia ukijenga kwenye udongo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Kama vitu vinavyojadiliwa bungeni havitekelezeki ni ngumu kutoboa

    Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amesema kuwa utekelezaji hafifu wa uamuzi na mijadala ya Bunge unakwamisha maendeleo na mafanikio ya Serikali. Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Aprili 14, 2026, Salvator ameeleza kuwa uzoefu wake...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: CCM sio wabunge wa ndio, kuna vitu tumekubaliana kwenye ilani ya chama ukipinga umechanganyikiwa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi. Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Pesa halafu Hendisamu kuna vitu huwezi fanya kwa mwanamke

    Huwezi hangaikia mwanamke. Kumfukuzia au yeye akuzungushe. Na ukiwa naye huhitaji kumfanya mpaka amalize. Ukimaliza wewe mwenye uhitaji inatosha. Sisi wenye pesa na mvuto mwanamke anamaliza kwa wakati. Mi nawaza issues za maana nikazane masaa mawili ili akojoe? No way. Siwezi. Nina pesa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

  17. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

    Hivi wakuu mnaionaje Marekani Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli Mfano kwenye 1. Entertainment Marekani mziki wao ni always Global hits...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu,kiukweli nikionaga hivi vitu huwa nazimia

    Wakuu,huo ndo ukweli wangu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  20. JamiiForums Tanzania Vitu viwili vilivyo vitakatifu: Ardhi na uumbaji

    Kuna vitu kamwe havipaswi kuchezewa kunajisiwa wala kuharibiwa kwa namna yoyote ile.. Vitu hivyo ni ardhi na uumbaji Unajua katika imani nyingi na mitazamo ya kiroho, ardhi na uumbaji huchukuliwa kuwa vitu vitakatifu kwa sababu ni kazi ya mikono ya Muumba. Na hilo halijaja kwa bahati mbaya bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…