vitabu

  1. JamiiForums Tanzania Nimeaza kuandika vitabu, Nahitaji msaada zaidi

    Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana. Nimepanga kuandika vitabu sita...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

    Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ? Hiki Chama ambacho kina :- 1. Mafisadi 2. Kina watu wanajiita wenye Chama 3...
  3. JamiiForums Tanzania Agano la Mwisho: Je, Sisi ndio waandishi wa vitabu hivyo?

    Kwa wale Wakristo watakua na ufahamu kwamba, katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna mkusanyiko wa vitabu vya Agano la kale na Agano Jipya. Vitabu vya Agano la kale viliandikwa kabla ya Kuja kwa Yesu Kristo na vilitabiri na kutueleza kuhusu ujio wake. Mtawala katika awamu hiyo Alikua Mungu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nikutumie hivi vitabu viwili free

    1. Safari ya Bulicheka. 2. Tajiri wa Babeli. Nicheki whatsapp. Vingine vingi. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies, za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote...
  6. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa!

    Habari Authors. Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS. Nimepata wazo la kukutana na waandishi wa dar kwanza iliniwaze kuwaelezea how ebook business works and how...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa vitabu vya kale wakumbatia teknolojia ya kidijitali mkoani Henan, China

    Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya picha. Kuanzia mwaka jana, Makavazi ya Wenxian imekumbatia teknolojia za kisasa katika kupanga...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuchapisha vitabu vikubwa kwa bei rahisi?

    Habari wadau nina kitabu kina page 4000 Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200 4000 x 200 = 800000 laki nane Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
  9. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa...

    Habari mwandishi wa vitabu! Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Ushirikina kwa mujibu wa vitabu vitakatifu?

    Ahlan wa sahla Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu Torati, Zaburi, injili na Quran , Mungu amekemea sana kuhusu hii dhambi ya ushirikina. Ama kwa hakika ndio amri ya kwanza aliyopewa Musa ktk zile amri kumi ili awaongoze wana wa izraeli. Kwenye kitabu kitakatifu cha Quran vivyo hivyo imekemewa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua vitabu vya Taasisi za Serikali?

    Habari wadau, Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk. Shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Ni pm ukihitaji softcopies za vitabu vya Alfu lela ulela, Hekaya za Abunuwasi na vingine vingi.

    Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. Tucheki 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama saba. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI 1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest...
  13. JamiiForums Tanzania Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

    Niende kwenye hoja. Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books". Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anaandika Vitabu kwa ajili ya UN na EU basi uwezo wake Kiakili ni mkubwa sana. Nimewaona Waandishi wa Ulaya walivyo Akili Kubwa!

    Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji. Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo? Kama ni kweli yuko UN/EU na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  16. JamiiForums Tanzania Madhara ya kusoma sana vitabu

    Angalia sana haya mambo. Utajifunza mengi juu ya Ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli. Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali. Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera. Utakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kupata Hizi African Storybooks/Novels?

    Habarini wanaJF Natumai nyote mko bombastic au sio. Naomba kuuliza kama kuna softcopy au hardcopy ya hivi vitabu viwili mtu anaweza akashea nami AGORO ANDURU - TEMPTETATION AND OTHER STORIES LAWI JOEL - YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES pia kama unavyo vingine vya waandishi hawa wawili...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy?

    Habarini wanaJF, Moja kwa moja kwenye hoja. Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy kwa majina vinaitwa: "TEMPTETATION AND OTHER STORIES" mwandishi anaitwa AGORO ANDURU "YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES" mwandishi ni LAWI JOEL. Ni vizuri sana yaani sana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Vitabu vya zamani vina maudhui ya kitoto sana?

    Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…