vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huenda kuna vita ya kutwaa madaraka ya kitaifa kimapinduzi ndani ya CHADEMA

    Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

    Mswada upo bungeni kinachosubiriwa ni Trump kuweka sahihi. U.S. Senate Fioreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho alishauri iundwe tume huru ya kimataifa mkampuuza. U.S. Senate Foreign Relations Committee | Ranking Member Senator Shaheen, amesema sana. Bunge la Ulaya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Maveterani vita vya Kagera hawajalipwa hadi leo, Je ahadi ya Serikali ilikuwa ni siasa ya maneno matupu?

    Akizungumza Bungeni leo Mei 19, 2026, Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amezua mjadala kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya posho kwa Maveterani wa Vita vya Kagera "Mimi jimboni kwangu, wazee hawa wapo. Wengi wao, umri wao ni baina ya miaka 70 mpaka 90. Vikongwe. Lakini taarifa nilizonazo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuomba uhamisho Halmashauri ya Handeni ni kama umetangaza vita na mabosi

    Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
  5. JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  6. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Ulimwengu Unajua Kinachoisibu Israel Kutokana na Vita?

    https://youtu.be/jLnDr9GEKiU?si=uwb_tCX5jY4cGNUJ
  7. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mipango mizuri ya serikali ,,wanaisingizia vita ya Iran

  8. JamiiForums Tanzania Kenya Inatuingiza Utumwani Afrika Mashariki? Ni Climate Lab Ya Israel , Na Vita Vya Kisasa Ambavyo Wanasiasa Hawavijui

    KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Trump china kwenda kuomba huruma ya vita

    Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
  11. JamiiForums Tanzania Iran yasema hakuna mbadala wa kukubali masharti yake ya kusitisha vita na Marekani

    Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran. Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  13. JamiiForums Tanzania Vita vyetu na Iran havijaisha mpaka Uraniumu iondoshwe-Benjamin Netanyahu

    Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’ Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika milki ya Iran ambayo “lazima iondolewe” nchini, na “kazi pana ya kufanywa” dhidi ya uwezo wake wa...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  15. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

    Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania. Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa...
  16. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Imepwelewa Pakubwa Chombo Kimekwama Mchangani

    https://youtu.be/rXVVWfMv5wo?si=90SAmzHTuVpYN8ek
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  18. JamiiForums Tanzania Matendo ya kipekee matano yanayokuopa nguvu ya ushindi wa Kiroho(vita vyetu sio juu ya mwili huu wa damu na nyama bali ni vita katika ROHO

    1)AMKA MAPEMA alfajiri saa 11 au 12 ,ukiamka mapema KABLA HUJATOKA nje, kitu cha kwanza cha kufanya ITAMKIE MANENO MAPYA SIKU MPYA unayoianza Mungu BABA ninaikabidhi siku hii mpya ninayoianza chini ya mamlaka yako,lisitokee jambo lolote ambalo lipo kinyume na mapenzi yako NENO LA KWANZA...
  19. JamiiForums Tanzania Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

    Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…