vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  2. JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya HAMAS-Israel vinatoa picha na ishara gani kwa Afrika?

    Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii. Afrika tunajifunza nini?
  4. JamiiForums Tanzania Wanapigana vita lakini bado kiuchumi hatuwafikii

    Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania 🇹🇿 hatuwafikii kiuchumi. Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na...
  5. JamiiForums Tanzania Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  6. JamiiForums Tanzania HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

    HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa hili tatizo kwa miaka 50 ijayo. =============================== The radical Palestinian movement...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya

    Kuzuka vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya.Toka napata akili nimekuwa nikisiliza hizi habari toka vyombo vikubwa vya habari duniani.Vita imekuwa ni sehemu ya Maisha ya mwanadamu toka kuumbwa.Hata kabla hatujaletewa dini na utamaduni mpya huku kwetu zilikuwepo vita..Hadi leo malengo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine inagharimu viti vya watu

    Wana JF, nilikuwa nawaza hivi kwanini House Speaker wa Merikani kang'olewa kwenye kiti? Wapo badhi ya watu wanasema ni kutokana na kusaliti wana Republican wa chama chake na kuwa mtiifu kwa Rais aliyopo kutoka chama cha Democrats mpaka asione utitiri wa misaada ya mabiliion ya Dolla zinazotumwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msikilize Papa naye anavyopenda vita

    Papa Francis ambaye ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki lenye makao yake makuu Vatican inaonekana ni mpenda vita sana. Katika tamko lake hapo jana amesema kuna watu wanafanya mchezo na Ukraine.Hapo mwanzo wamewapa silaha na sasa wanazuia. Tamko hilo limetafsiriwa kuwa linalenga moja kwa moja kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Vita Sudan: Mkuu wa Jeshi Burhan adai yuko tayari kwa mazungumzo ya amani

    Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema yuko tayari kukaa meza moja na Mohamed Hamdan Dagalo ambaye ni Kiongozi wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) baada ya pande hizo mbili kuwa katika mapigano makali tangu Aprili, 2023 wakishindana kuongoza Taifa hilo Jenerali Burhan ambaye alichukua mamlaka...
  14. JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  15. JamiiForums Tanzania Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati wangu wa kuomba maombi ya nguvu za kutawala, kumiliki, kinga, na kushinda vita zote

    Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa. Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba. Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
  17. JamiiForums Tanzania Putin hana mshirika; Korea Kaskazini ni rahisi kutokea vikundi vya kuipinga Serikali kukitokea vita na nchi za Magharibi

    Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  19. JamiiForums Tanzania Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
  20. JamiiForums Tanzania Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…