Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
VITA YA WANGONI NA WANDENDEULE NA ASILI YA WANDENDEULE.
Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa ni wenyeji wa nchi ya ungoni ya leo, pia tujue historia fupi ya kabila la Wangoni aina ya Kizulu na...
VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI
Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
Habari wana JF.
Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k.
Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa masikini ni Motoni moja Kwa moja.
Kwasababu.
Umasikini unakufanya muda wote unawaza mabaya Mabaya...
Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
Taarifa za karibuni kabisa zinaeleza kuwa makundi ya wapiganaji huko Gaza wakiongozwa na Hamas wamesema wamekubaliana na mpango wa kumaliza vita vya miaka miwili kati yao na Israel.
Hatua hiyo imekuja kufuatia mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea nchini Misri yakisimamiwa na Qattar na Misri...
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother...
Kiongozi wa Magaidi wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem aliitishia serikali ya Lebanon kwamba kundi hilo litahifadhi silaha zake na kutishia kama serikali inataka kuwanyang’anya silaha zao basi wataanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe “Karbala" na kuifanya serikali kuwajibika kwa migogoro yoyote ya...
Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine.
Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19
Hubiri langu la kufafanua andiko kuu.
Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai"
Sawaa Mimi bagia unaninywea chai, ila nawew kitumbua ninakinywea uji ..shwain kabisaa!!
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya Kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !
Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka
Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii...
Trump's playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10…
He should remember 2 things:
1. Russia isn't Israel or even Iran.
2. Each new ultimatum is a threat and a step towards war. Not between Russia and Ukraine, but with his own country.
Don't go down the Sleepy Joe road!
— Dmitry...
June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
Waziri Mkuu wa Cambodia amesema kuwa lengo kuu la mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo July 28, 2025 na Thailand ni kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano mara moja kufuatia mzozo mkali wa mpaka uliogharimu maisha ya watu. Hata hivyo, Waziri Mkuu wa Thailand ameonyesha mashaka kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.