Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume mmoja kuchakaza kichaka kinasomwe, kinachoimbwa kwamba hakiwezi kupigwa kwakuwa wao taifa teule...