visasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  2. S

    Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) . Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
  3. Mcmillan de Maghayo

    Kuna hali ya hasira na visasi huwa inanijiaga yaani naumia

    Dhulma, uonevu na usaliti naviepuka sana. Nikikumbuka nyakati tofauti nilivyodhulumiwa, kuonewa na kusalitiwa kwenye maisha yangu najawa na ghazab na visasi ila baadaye na potezea. Hii hali hunijia mara kwa mara sana. Ila Mungu anaingiliaga kati kwa msaada wa bangi. Yani nikivuta tu I feel...
  4. Genius Man

    onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  5. Fbn

    PostGE2025 Inawezekana kuwa ni visasi, maana kila idara wamewekana wao kutoka Zanzibar

    Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa. Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika. mlipo mnakazi kazi ngumi...
  6. M

    ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  7. Genius Man

    GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  8. Fbn

    GE2025 Kilochabaki sasa ni visasi vya chini kwa chini vinavyoendela

    Kwa maandamano ambayo wananchi wamejaribu lakini na JWTZ tulitegema kutusaidia ni kama nalo limekuwa la wanasiasa. Kwa haya yaliyotokea umwagaji wa damu kwa raia. Sasa ni wakataki mgumu ambao wananchama wa CCM, chawa na mafisadi watapitia wakati mgumu ambao polisi watashindwa kueleza na...
  9. Course Coordinator1

    GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
  10. Msanii

    GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

    Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano...
  11. Idugunde

    Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  12. R

    Tuyaseme kwa nia njema, kuepusha yaliyotokea Rwanda: Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi, watawala mnaweza kufuta hasira hizo , bado muda upo

    Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda! Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
  13. Fbn

    Visasi vitalipwa mrudi kwenye historia

    Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao. Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu. Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
  14. S

    Taifa ambalo raia wengi ni masikini na hawana vipato, ni rahisi kukodiwa kwa lengo la kulipiza visasi

    Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana. Kwa msingi huo, kuna hatari kubwa ya vijana wa aina hiyo kukodiwa na kufanya vitendo vya kulipiza kisasi tena kwa malipo ya...
  15. Mshana Jr

    Uhayawani wa binadamu: haya mauaji ni wivu, visasi au malipizi? Je, inaweza kuwa ushirikina?

    Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia. Huku Kilimanjaro pia walikuwa na...
  16. Brain Kingdom

    Je, kuna dawa ya kutibu hulka ya visasi na kutokusema kwenye anga za mapenzi?

    Shalom Hodi hodi jumapili! Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani. Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki...
  17. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  18. data

    Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

    Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda. Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi...
  19. M

    Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake. Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake. Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
  20. M

    Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

    Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko Acheni mihemuko ya kisiasa
Back
Top Bottom