vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

    Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili. Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta amepunguza bei ya umeme, Tanzania vipi?

    Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji. Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna familia zinauza bangi / gongo mitaani toka zamani mpaka watoto wamerithi, hili linawezekana vipi?

    Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu. cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya. Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, mnaona vipi Muungano wa Tanzania, are Tanganyikans duped?

    Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254. Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za ujamaa zisije zikaichukua Zanzibar na kuwa koloni la ki -socialist!!!!Nyerere kama kijana aliekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu dawa ya PrEP na inatumika vipi kuepuka maambukizi ya VVU

    PrEP ni nini? Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU. Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inakabiliana vipi na janga la UKIMWI huku kukiwa na janga jingine kali zaidi la COVID-19?

    Na Pili Mwinyi Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini malengo muhimu ya mwaka 2020 duniani bado hayajatimizwa. Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya UKIMWI, kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

    Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe? Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja. Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

    Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

    Habari wadau Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo Nasubiri ushauri wenu wadau
  17. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania mmejiandaa vipi kisaikolojia kwa ujio mpya wa Richmond (Dowans)?

    Update: 16/05/2023 Hayawi hayawi sasa yamekua. Megawati 180 kwa miaka 25 Zanzibar Update: 04/12/2022 https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-iptl-imewasha-mitambo-yake.2045101/ ========================== Update: 08/12/2022...
  18. JamiiForums Tanzania Makocha huwa wanawasiliana vipi na wachezaji?

    Wakuu salaam, Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni shida yaan hakijui yeye anaongea kifaransa lkn unamuona anamwita Faridi au Feisal anamwelekeza jambo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

    Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Hii Mbeya umeme vipi?

    HII MBEYA UMEME VIPI? Ndagafijo Nimetoka zangu huko visiwani nyumbani kwa mama wa nchi nikasema walau nijivinjari huku bara, ili kusaka tonge ili yule bidada mrembo asiye na doa, nimmilikiye asije nikimbia licha ya subra na uvumilivu alojaliwa na manaan. Sio hilo tu je huyu binti yake ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…