vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

    Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
  2. JamiiForums Tanzania Vipi taasisi hizi zikipitiwa na CAG?

    Habari ndugu zangu!! Kwa ufinyu wangu wa mawazo na elimu yangu duni nawaza tu kwamba sijui hali itakuaje siku CAG akipitia mahesabu ya TISS na TPDF.Maana kila mwaka huko anakokagua CAG wizi upo pale pale kama kawaida tena wa mabilioni ya shilingi.Serikali ipo,bunge lipo,TAKUKURU wapo lakini wizi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vipimo vipi vitathibitisha kuwa Figo zimefi

    Habar wakuu nauliza ni vipimo vipi vyakupima ili kuthibitisha kuwa Figo zimefi
  4. JamiiForums Tanzania Maisha ya uadilifu ni magumu sana. Sasa hapa sijui nitasaidika vipi kwa hiki kipindi

    Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa. Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
  5. JamiiForums Tanzania Vitu vya ajabu ambavyo ulijua kwamba havikubaliki kufanya, lakini ulifanya bila kujua! Ulijua vipi?

    Habari za muda wakuu wa Jf.... Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu...
  6. JamiiForums Tanzania Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  7. JamiiForums Tanzania Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe anasema anatazama kampeni inakwenda vipi wakati yeye ndiye anasubiriwa ili kampeni ianze

    Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti. Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini. Kwa jinsi ilivyo sasa inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na hapa sijui kama ndipo mahali pa kuuliza. Yule Abdul Nondo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mlisema mnataka kucheza na shetani vipi ndugu zetu wa Yanga hali ikoje

    Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
  13. JamiiForums Tanzania Oparesheni ||| vipi haiji?

    Hamjamboni wakuu, hasa hasa waajemi wa buza Ka utani kangu ni haka:Oparesheni ||| lini jamani pamepoa sana aunilipigwa kwenye mshono mnauguza vidonda kwanza Cheza na mtoa roho netanyahu, Amsheni dude
  14. V

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili vipi

    Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu zilizofanya na CCM kwenye uchaguzi. Kama yupo naomba nijuzwe
  15. JamiiForums Tanzania Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

    Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
  16. JamiiForums Tanzania Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  18. JamiiForums Tanzania Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

    Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana. Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nayageuza vipi mahusiano ya kawaida kuwa Mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…