viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

    Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa. Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa. Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
  2. JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni na kauli hizi za viongozi kuhusu ajira kwa vijana, tunataka Serikali iwajibike

    Hello Tanzania! Hapa Tanzania kumekuwa na Kauli mbalimbali za ahadi na kuudhi wanazotoa viongozi kuhusu Ajira Kwa Vijana. Kwa bahati mbaya hatuna Mechanism ya evaluation ya Kauli zao Ili kujua uwajibikaji na matokeo ya kile wanachahidi. Watu wanakimbilia vitu cheap hasa vya kujenga Jenga...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na Viongozi Ranchi ya Usangu, masikini Tanganyika

    Rais Wasaidizi wako wanakuangusha Tanganyika imegeuzwa shamba la bibi au kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa anaenda kwenye Ranchi ya Usangu. Kazi yetu kukuhabarisha, hatua stahiki utazichukua wewe. === Ranchi ya Usangu yageuzwa Shamba la Bibi Waziri Mkuu Majaliwa Kassim...
  5. JamiiForums Tanzania Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

    Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Assenga watu hawatarajii mtaenda kutukana viongozi waliofariki

    Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki. Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuwalazimishe viongozi wetu kuwa wazalendo na kuishi wanayoyaongea jukwaani

    Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi. Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema. Leo viongozi wetu wako bize...
  9. JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  11. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmemkosea Mgunda

    Kwa kilichotokea na kufanywa na viongozi wa Simba dhidi ya kocha mzawa Mgunda ni ukosefu wa fadhila na shukrani. Mgunda aliichukua timu wakati mgumu sana na kwa kipindi chote alichokuwa na timu morali ya wachezaji iliimarika na timu ilibadilika sana. Hivi nyie viongozi mmetumia kipimo gani...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wetu wa mpira wanatumia ujinga wa mashabiki kama mtaji? Inaumiza sana

    Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  15. JamiiForums Tanzania RC Mbeya kuwawajibisha Viongozi wa Halmashauri zitakazopata Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa. Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wapo active kwenye mitandao but ukiwafuata dm hawajibu

    Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

    Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  19. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…