viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar. Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili. Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
  2. JamiiForums Tanzania Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

    Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza... Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za dini kutokuruhusu nywele kuonekana, kitazama na wengi sana. Iranian authorities have reportedly begun...
  3. JamiiForums Tanzania PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

    Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili. Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  6. JamiiForums Tanzania Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

    Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
  7. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu. '...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.' '....ni muda sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli/Maelekezo/Marufuku zilizowahi kutolewa na viongozi na hazifanyi kazi sasa. Unakumbuka zipi?

    Hebu tujaribu kuwakumbusha viongozi kuhusu kauli ambazo walikuwa wanaamini ni za kujenga lakini kwa namna moja au nyingine hazikuwahi kutekelezwa, au utekelezaji wake unasua sua 1. Marufuku ya kuosha magari kwenye barabara za lami kwamba ni chanzo cha uharibifu wa barabara 2. Marufuku bodaboda...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi mmeshachuma vya kutosha achieni ofisi, vijana mkajifunze kwa Ally Hapi

    Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini. Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiroho lipeni kodi kwa wakati ili kuepuka fedheha katika jamii

    Hapa nina wazungumzia Wachungaji, Masheikh, Mapadre na wote ambao ni viongozi wa kiroho, heshima yenu ni kubwa mno katika jamii na mnategemewa kuwa mfano mbora katika jamii yetu. Siyo wote ambao mna nyumba zenu binafsi, hivyo kuwalazimu kupanga na kujistiri katika nyumba hizi na kufanya makazi...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwaambie ukweli watawala

    Naomba kuwasilisha maoni yangu kwa viongozi wetu wapendwa katika imani mbalimbali za kidini. Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitumia upande mmoja tu wa Neno la Mungu kuelezea kuhusu umuhimu wa kuheshimu mamlaka zilizopo kwa kuwa zimetoka kwa Mungu na zimeruhusiwa na yeye kuwepo...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni kuwadharau mashabiki wa mikoani

    Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
  14. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF lini mtaipeleka taifa stars fainali za world cup?

    Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa TFF hawsivyo na mikakati ya maendeleo vichwani waingiapo madarakani. Iweje walipwe mishahala minono...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  18. JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayetetewa na viongozi wenzake badala ya wanachi, upo mkwamo pahala

    Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao. Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu, ajichanganye mtaani ashuhudie maisha ya wananchi kwa sasa, atatoa machozi bila kupigwa. CCM, jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…