viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

    📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali. Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake. VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Viongozi walioapa akiwemo Mkurugenzi wa Uchaguzi wasome na kuelewa Ilani ya CCM ili kumuunga mkono Rais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023 Dr. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaasa viongozi wote walioapa leo akiwemo Mkurugenzi wa Tume...
  6. JamiiForums Tanzania Teuzi za viongozi wa ngazi za juu katika utumishi wa umma

    Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ‘viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake. Na jambo kubwa linalonichefua sana ni hii dhana ya kuonekana mtu ‘kaula’ anapoteuliwa na Rais kwenye nafasi yoyote ile ya kiuongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

    Uisalam utabaki kuwa uisalam. Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran . Kila kitu kingekuwa sawa. 📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine. ...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Viongozi wa Ikunguigazi Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita

    Habarini wadau wana jf, poleni sana na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Kuna uzi humu jamvini inayohusu viongozi wa kata ya Ikunguigazi, Wilaya ya Mbogwe, Mkoani Geita. Kusema ukweli mleta mada alikuwa sahihi kwa asilimia mia moja, kuna uozo na uchafu mwingi ndani ya ofisi ya mtendaji wa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra viongozi wetu kuzindua miradi bila kusikia, 'kwa Afrika huu ni wa kwanza, pili au tatu?'

    Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika. Kwanini hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  11. JamiiForums Tanzania Biden akutana na viongozi wa NATO wa Mashariki mwa Ulaya

    Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa nchi za upande wa mashariki mwa Ulaya, ambao ni wanachama wa jumuiya ya Kujihami ya NATO. Kwenye mkutano huo wa Jumatano huko Warsaw Poland, Biden alikariri kujitolea kwa nchi yake kuhakikisha usalama wa washirika wake wa mashariki mwa Ulaya...
  12. JamiiForums Tanzania Nawashauri viongozi wasituhadae kwenye suala la gharama za mitandao

    Amani iwe kwenu. Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini. Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
  13. JamiiForums Tanzania Watendaji Serikalini kusubiri matamko ya viongozi wa juu ndio watimize majukumu yao inaonesha kuna shida kwenye mamlaka

    Wiki iliyopita nilitazama taarifa moja ambao nainukuu hapa ilivyoanza; “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika vyombo vya sheria baba mzazi wa mwanafunzi wa darasa la pili (7) Jijini Arusha...
  14. JamiiForums Tanzania Uzalendo ni kwa ajili yetu tu wananchi na Viongozi hili haliwahusu?

    Kwanini kila mzigo tunaangushiwa sisi wananchi...makodi matozo ni yetu tu pekee yetu wananchi wa wa kawaida. Ila viongozi hasa wanaoitwa eti wanatuwakilisha bungeni, wanajitahidi kila sheria na makato na makodi YASIWAGUSE WAO. Nashauri tushinikize mswaada wa raia kwa njia ya poll...Na isukumwe...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tuwe watulivu viongozi hawana shida

    Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba hawajaclick sometimes kusajili ni kama kubet tu. Kama timu inalala pazuri, inasafiri kwa ndege mishahara...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi hutumia mafuta ya simba

    ...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli . • Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba ...
  17. JamiiForums Tanzania Angalizo: Simba ili iendelee kaeni mbali na viongozi wa CCM

    Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia ya Yanga katika siasa za nchi hii. Sitaingia sana huko ila uthibitisho upo na ni mkubwa kuwa mpaka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

    Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi. Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita. Kiongozi mtaani nchini kwake. Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu? Siyo siri kuna mahali tuna kwama. Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa CCM wanahuruma sana kwa wananchi wasiojiweza; hutembelea masikini na kuwatia moyo

    Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri. 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…