viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

    Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania walikuwa wanataka tu viongozi bora

    Maisha yanatufundisha sio kila kitu unachokitamani unaweza kukipata, kuna vingine vinabaki kuwa ndoto tu. Watanzania walikuwa wanataka viongozi wenye akili, wazalendo, wanaotumikia wananchi, wanaosikiliza wananchi, wenye ukarimu, wenye upendo, wenye maono, wawajibikaji, wenye uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

    Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!! Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa ngazi ya juu ya irani wageukana

    Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu. Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nina wasiwasi na Wakili Kisabo juu ya maneno aliyosema yamesemwa na Lissu. Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe

    Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naona si sawa Kwa Wananchi kulalamika posho za watumishi na Viongozi Gavoo

    Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho. Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

    Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Trump: Viongozi wa Iran hawatabiliki

    Rais wa Marekani Donald Trump amewakosoa Viongozi wa Iran baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kushindwa kuleta makubaliano kamili kuhusu suala la Nyuklia. Kupitia ukurasa wake wa Truth Social, Trump amewataja Viongozi hao kuwa “Watu wasiotabirika, wagumu na wenye kubadilika badilika,”...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuna wale maslahi yao yakiguswa wanaajiri watu wa kutukana, ili waendelee kufugwa, lazima watukane viongozi

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema kuwa vita ya rasilimali ni kubwa sana na ndio maana baadhi maslahi ya waliozoea kuchukua na ya wengine yakiguswa huwa wanaajiri wa kutukana mtandao, na hili hao watukanaji waendelee kufugwa lazima waendelee kutukana na ndio maana wamekuwa wakihama kila awamu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Imefikia pabaya sana. Mnakaa mitaani na kuomba viongozi wenu wauliwe kama wale wa Iran!

    Naona mmewachoka na mnawachukia sana. Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa. Hii ni sababu ya nini? Cake ya taifa?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…