viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kundi lingine ambalo ni adui kwa taifa hili ni baadhi ya viongozi wa kiislamu

    Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Matendo ya viongozi ndio sura ya chama kwa wananchi

    Moja ya mistari inayonigusa sana katika biblia, nakunifanya nijitathmini mm mwenyewe ni mtu wa aina gani, ni Mathayo 7:20 "mtawatambua kwa matendo yao" Wanadamu tuna hulka ya kupenda kuonekana ni watu wema mbele za watu (reputation) wakati kwa kificho tunafanya mambo ambayo tunaona aibu...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  5. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  8. Black cap

    JamiiForums Tanzania Tuweke historia sawa- Viongozi waliowahi kujiuzulu Tanzania

    1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere - Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU. Kabla ya muungano 2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi -...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  10. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kudumu ndani ya chama ni mambo ya CCM, ndio athari za kina JK. CHADEMA tujisahihishe, tubadili katiba yetu, tumnyopoe Mbowe Kamati Kuu.

    WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba. Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  12. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani ardhi, uongozi bora, siasa Safi na watu

    Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi. Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumanne Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe

    Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi. Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

    Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini. Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiang’i Aibua Kengele: Akaunti Kudukuliwa, Mawasiliano Kukatizwa na Viongozi Kufuatiliwa

    Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji. Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima

    Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima. Tunaweza kukosoa, kuuliza na kutoa maoni kwa nguvu ya hoja, bila matusi, dharau au chuki. Tujenge utamaduni wa kuheshimiana tunapotoa maoni. Je, tunaweza kutofautiana bila...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
Back
Top Bottom