Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...