viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za baadhi ya Viongozi kuelekea uchaguzi wa ajabu ni mtaji wa ICC

    Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi. Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa. Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao? Mbona hawawajali...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

    Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa CHADEMA mbaroni kwa kuchana mabango ya CCM

    Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza Yageuzwa Jangwa: Wiki ya Tatu Bila Maji, Viongozi Wanaendelea na Siasa

    Ukweli Mchungu Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa. Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu . Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Aliyetarajiwa Kuweka Mfano Mzuri kwa Wanawake Kuwa Viongozi, Ageuka na Kuwa Dikteta Hatari.

    Siongezi neno: "Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha kumfanya M7 kuonekana ni mtakatifu" "A woman who was expected to open new frontiers for women...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamebanwa hawapati tena percentage za usajili, wanasababisha ugumu kwenye mafanikio ya Simba

    viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote). hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la waTanzania ni kuwaamini viongozi mamluki wa CCM

    Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa maslahi ya CCM . Ya wapasa wapinzani wasimame wao wenyewe wasitegemee kina Warioba, Butiku...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa kimila wa Tambika uchaguzi uwe wa amani

    Machifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka yule manzi wa "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa)" , jana kanifanyia surprise

    Watoto wa kishua bwana kumbe wanajua kupika
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
Back
Top Bottom