viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

    Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa. Trump, anawadharau sana...
  2. K

    Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  3. Viongozi wa yanga acheni ujinga

    Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu Atadondoka na kuondoka na yanga itabaki Tundu Lissu ni shabiki Lia Lia wa yanga na ameshakuwa mwanachama uko...
  4. Umoja na mshikamano vya tawala hotuba za viongozi mkutano wa SADC

    UMOJA NA MSHIKAMANO VYA TAWALA HOTUBA ZA VIONGOZI MKUTANO WA SADC Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua...
  5. Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  6. Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais Donald Trumpyaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu. Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula...
  7. Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  8. U

    Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  9. Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  10. M

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
  11. K

    Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  12. KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  13. Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
  14. Z

    Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  15. K

    Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  16. Ukishughulika na viongozi wao, wafuasi watatawanyika

    Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa litoke hapa lilipo na kusonga mbele.
  17. K

    Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  18. TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  19. D

    Wale viongozi uchwara wanijibu: Farao alivyokufa wale wana wa Israeli Je, Walisikitika au walishangilia?

    Nyie viongozi wakati mwingine muone haya kama asemavyo aliyekuwa mwenzenu Polepole! Ni kweli pengine polepole alikuwa kama nyinyi lakini Kaona haya moyoni mwake akaamua kutubu hadharani kwetu wanadam wenzake. Watu wengine HUJISEMEA Eti ukitubu kwa Mungu sirini inatosha, UKWELI ni kwamba...
  20. Kwa nini Watanzania Wanashangilia Misiba ya Viongozi

    Kumekuwa na mwendelezo wa watu kushangilia pale anapofariki kiongozi. Mwendelezo huo umeonekana kwa Job Ndugai, aliyewahi kuwa spika wa bunge la Tanzania. Sababu kuu ni siasa peke yake au kuna mengine? https://youtu.be/_Djc1K7gyi8?si=3xf8Ix2eKiK0Qm0Q
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…