viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa mnaua vipaji na viongozi vijana vijana kwa matumbo yenu na ulafi wa madaraka

    Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa. Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
  4. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

    Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi muwe na hofu ya Mungu, vinginevyo yatakayowapata msimlaumu

    Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao. Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu. Kiongozi ni nani? Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au...
  6. JamiiForums Tanzania Kweli aombae hupewa: viongozi wameomba ugaidi, wameupata!

    Bandugu, Wahenga walisema, "Aombae hupewa". Juzi tu viongozi wetu wa juu kabisa waliiombea Tanzania ugaidi kwa kusingizia wapinzani wao wa kisiasa kuwa ni magaidi. Na kuwakamata na kuwasweka jela. Na kweli maneno yana nguvu ya kuumba. Uongo na ufedhuli wao umemuumba gaidi wa kweli. Bahati nzuri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa ya dhamira baina viongozi wa Yanga na Simba ni hii hapa

    Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Mjadala: Tanzania mabosi wengi ni mabosi-suti, uwezo hakuna

    Kumekucha! Lengo la mjadala huu ni kuwafahamisha wanajamii kuwa wakati mwingine wasiwe na mategemeo makubwa saana juu ya utendaji wa viongozi wao. Wachukulie kawaida tu kwamba tunaenda kimungu-mungu. Lakini wajue moja ya sababu zinazotufanya tukwame kwa miaka mingi ni kuwa na watu wa namna hii...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi wa CCM ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Timu ya Olimpiki ya Tanzania ina Viongozi wengi kuliko wachezaji

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ilivyo sasa ambapo timu husafiri na viongozi wengi zaidi ya wachezaji. Ametoa maelekezo hayo wakati akipokea Kombe la Ubingwa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  12. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi kama Waziri Mwigulu hawahusiki kabisa na tozo zote, tunalipa sisi walalahoi

    Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta haipo tena. Hili...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi Mlioko Morocco Kemeeni hii Tabia Kambini

    Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco. Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara. Kambini si sehemu ya kwenda kuonesha urembo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia wachezaji wetu kutoka Kongo.sisi hatujali sana...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Vitu wasivyokuambia

    Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums. Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) . FIKRA ZANGU: Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu. Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya...
  15. JamiiForums Tanzania MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ulinzi kwa viongozi wenu una dosari kubwa

    Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika. - Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo; 1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania 2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki 3. Balozi Mteule...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa serikali ni 'vichaa', wakiondolewa ndipo Watanzania watapata ahueni

    Habari za asubuhi! Leo kuna mtu alipost jambo humu akanikumbusha jambo, nikaingia library kupekua nikakutana na picha za matukio kadhaa ya nyuma yaliyofanywa na viongozi wetu. Hebu icheki hii picha chini kisha utagundua kuwa tuna baadhi ya viongozi vichaa katika Taifa hili. Hawa watu wenye...
  19. JamiiForums Tanzania National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

    Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
  20. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

    Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania . Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari. Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…