SoC01 Vitu wasivyokuambia

Stories of Change - 2021 Competition

Lloyd Munroe

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
7,448
19,730
Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums.

Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) .

FIKRA ZANGU:

Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu.
Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya kuwa na kuonekana wakuu nakutusahau tunaohusika.

Wamekuwa watu wanaopigania heshima wasizo stahili.
Mfano: Ukimuita bila kutaja cheo alichonacho uhudumiwi.

Pia ni watu amabao muda wote wakimaliza awamu ukimuuliza wananchi na kizazi kijacho kitakumbuka kwa lipi ??... Majibu yake ni fyongo tu.

Hawa NI watu amabao muda mwingi wanautumia kulinda muonekano na sifa zao binafsi kuliko majukumu ya kuhudumu wananchi wao.

NINI VIPAUMBELE:

Kwa viongozi wa Afrika, ni nafsi na nafasi zao bila kusahau wachache watakao fanya na kushiriki michongo wanayowapa.
So Africa hakuna viongozi Kama wapo hawafik asilimia 5 Zaid ni deal makers (Wapigaji).
Wapo kwenye wadhifa kututumia na Kama tulivyo kuwa tukiwatarajia.

TUNAFIKAJE BILA UONGOZI

Hakuna chochote kinaweza tokea, kuendelea au kukua pasipo uongozi na sisi tunawana siasa tu.
Aliyeko mbele anaamua muonekano ya walio nyuma.

Kwa mbali nawaona wachache wenye uweledi wajuu wamekuwa wakiamua hatama zao kivyao.

Na moja ya kitu serikali za Africa hazitaki ni kutuona tukiamka na kuamua kivyetu maana hofu kuu ni kwamba tutawaansha walio wengi.
..... Usishangae kuuwawa kwa walio wa kweli kuwa wamependekeza UONGO kuwa moja ya kitu pendwa maskioni na machoni petu ili wazidi kutugandamiza.

Kiongozi siyo kuwa na maguvu ww tu ila kuwafanya wanaokufata kuwa na nguvu pia.
4% ya wananchi inajadili mustakabari wa maisha wa 96% iliyobaki.
4% maisha Bora 96% wanaohaha.

Uongozi c kitu kidogo na Cha kukimbilia kama ilivyo huku Africa maana tumekuwa wajinga mpaka wanatugombania wasio kuwa na uwezo iwe kifkra, tafakari hata maadili.

Gharama ya uongozi ni kubwa ila kwakuwa njaa na tamaa walizonazo watu pasipo kuwa na hekima lakini kiafrika imekuwa Kama Biko tu .

Kwann tuuane.. KISA madaraka,
ile siti NI muhimu kuliko kitu chochote na kitu pekee anachokifkiria NI muhula ujao ss jaribu kuonyesha upinzan ... UMEKWISHA.
Uongozi kwa Africa imekuwa NI kutafuta wa fuasi na SI kuhudumu kutokana na maono uliyonayo (+ve visions) .

Kwanini wanafeli ??

Hapa ni vile wanavyoamini na kuvitaka pasipo kuzingatia haya :

Siasa bila Sheria.
Utajiri bila gharama.
Matumizi mabaya ya maarifa.
Fikra pasipo ubinadamu.
Maisha bila wema.
Njaa ya umiliki.
Chuki zisizo msingi.
Uwezo mdogo wa kuainisha Mambo.
Matumizi mabaya madaraka.

.
WANASIASA SIO VIONGOZI :

"Wanashibisha macho yetu wakishibisha matumbo yao "..... SIO neio wahanga

Shule na vyuo zote zinatengeneza wanasiasa na sio viongozi.
Walio wengi bungeni na walioshika nyadhifa mbalimbali wakague utajua walikuwa wanatakiwa kuwa sehemu ya tofauti na siasa au nafasi walizopo.

Siasa NI Kama biashara imejawa na ahadi kuliko utekelezaji.

Sio mbaya kuzaliwa na kuzikuta Sheria amabazo ungezipinga ila kwa Sasa unaziishi .
HiI ndio ile 10% wanatengeneza asilimia 90% ya Sheria kwa sababu wanatarajia kupata faida kutoka katika vyanzo vyote vilovyo chini Sheria hizo (90%).
Mfano: Viongozi feki wa kidni au Taasisi.

NISEME:

Sisi sio wakimya Wala wavumilivu ila ndivyo tulivyo funzwa na kuzoezwa Mana wanajua wangetuoa Uhuru kungenuka.
Nb: ( kufunzwa yaweza kuwa kimabavu au kwa utaratibu maalum )

Africa tumekuwa tukiwavisha kofia waliooza ubongo... Kuwalinda wehu.
Kwa namna ya tunavyojiweka na ndivyo wao wanatufikiria na kutufanyia mauzauza .

UNATAKA KUISHI ? :

Wanakutaka uwe mnyenyekevu, mskivu na mkimya.
kwa maana unatikwa kuonekana tu na SI kuskika.

Tambua tu Kika mtu NI kiongozi ila tumeathiriwa na mazingiwa ya kuwa wafuasi toka utotoni.
Pia kukubali kuishi kwa kupangiwa. Kiufupi tunamilikiwa.

NANI KIONGOZI WA KWELI ?

• NI yule ambaye ndoto NI muhimu kuliko nafasi na nafsi yake.
• Anaye thamini wengine bila madaraja.
• Anayepigana kufanikisha ndoto za wananchi wake kwa kadri.
• Anaesimama katika viwango.
• Anapigana kuwa nasio kutenda makuu.
• Mwenye maamuzi na hitimisho.
• Mwenye viwango pasipo Shaka.
• Anayesimamia haki kwa ujumla.
Hizi ni baadhi tu nyingine jazia .

Nawaacha na swali : Je kwa kupiga kura tunaweza pata Viongozi wakukata kiu tulizonazo kwa muda mrefu ?

NI wapi Demokrasia imeacha tundu amabalo wanalitumia kutufelisha ?.

Nimeyaandika haya kwa uelewa wangu mdogo na nilicho kiishi kwa miaka 25.

Asante Afrika Asante Tanzania.

Image source: Pinterest

FB_IMG_15976542038844859-1.jpg
 
View attachment 1901989
All we have to do is stand up.

Karibu Upige kura kwenye Nakala zangu pia 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom