Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume
Akili za mwanamke zinafikiri kwamba, atakapokutana na mwanaume maeneo hayo ya kanisa, mwanaume huyo hatopata mashaka ama kujiuliza mara...
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri...
Kwa mujibu wa Reuters, mashauriano hayo yapo hatua ya awali yakilenga kupata Washirika kutoka mataifa mbalimbali, hasa Kundi la Nchi 7 Tajiri Duniani (G7) ili kuratibu vikwazo vyovyote vinavyowezekana.
Uamuzi huo unafuatia #Washington na washirika wake kuituhumu #China kuwa inataka kuisaidia...
Habari, wanajukwaa!
Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
Takwimu mpya za Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Kamisheni ya Umoja wa Afrika zimeonesha bado baadhi ya Nchi za Jumuiya ya EAC zimeweka Sera ngumu za Uhamiaji zinazopunguza kasi ya muingiliano wa Kibiashara
Pia, Ripoti ya Africa Visa Openness Index (AVOI) inayofuatilia Utayari wa Nchi...
Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani.
Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
WADAU
AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA"
Miongoni mwa maandiko...
Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe.
China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
Marekani ilitangaza vikwazo vipya Jumanne dhidi ya Taliban, kama adhabu kwa ukandamizaji wao wa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakeni Anthony Blinken alitangaza vikwazo vipya vya visa kwa wanachama wa sasa au wa zamani wa Taliban, na wengine "wanaohusika...
MARKET EXTRA
Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial mobilization.
MSN
Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa.....
Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa.
Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya Kiraia Madarakani
Viongozi wa Guinea wanasema wanahitaji miaka mitatu kuirejesha Nchi hiyo katika...
Ikisiri
Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi vikwazo mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali yanayojadili swala hili, vilevile wapo wadau wa elimu...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao.
Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea...
Wakati kazi ya sensa ikitarajiwa kumalizika leo, baadhi ya viongozi wameendelea kueleza changamoto katika kufanikisha kazi hiyo.
Changamoto hizo ni wizi wa vishikwambi, kukosekana mtandao kwenye baadhi ya maeneo, kuisha kwa chaji za vishikwambi na baadhi ya watu kuchelewesha kazi hiyo kwa...
Maisha ya raia wa Urusi yamezidi kuwa magumu kufuatia Taifa hilo kuingia vitani na jirani yake Ukrain. Hali hii imefanya mataifa mbalimbali kuiwekea vikwazo kadhaa ikiwemo baadi ya raia kuziwa kusafiri na hivyo kudumaza biashara na upatikanaji wa boidhaa.
Yasemekana raia wamebaki kimya kwakuwa...
Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma
Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.