Toyota yaihama Urusi rasmi, kisa vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa.....

Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will permanently end vehicle manufacturing operations at its plant in Saint Petersburg. This represents all Toyota vehicle manufacturing in Russia, though the company will retain a presence in Moscow to support retail operations.

Toyota suspended operations at the Saint Petersburg facility on March 4, just over a week after Russia launched its invasion. Sanctions placed on Russia caused severe interruptions in supply lines, though Toyota has kept the plant in a ready-to-launch state for the last seven months should circumstances change.

In a statement from Toyota released on September 23, the company sees no indication of restarting operations anytime soon, thus making the closure permanent. Employees affected by the closure will receive assistance from Toyota for re-employment, training for new skills, and "well-being, including financial support above legal requirements."

Construction of the Saint Petersburg facility began in 2005. Production launched in 2007 with the Toyota Camry, and later expanded to include the RAV 4 in 2016. At full capacity, the plant could build 100,000 vehicles a year which were sold primarily in Russia. Some models were exported to nearby countries such as Belarus.

As for the plant's future, Automotive News Europe reports that Toyota could sell the facility though nothing is official. A Toyota spokesperson told the publication that, if the factory is sold, it won't simply build rebadged Toyotas.

MSN
 
Jana nilikuwa nasikliza kipindi cha maoni kwenye DWswihili wachambuzi waliobobea katika masuala ya kimataifa na kiuchumi tena wanaishi ndani ya nchi za Ulaya.
Waliongea hali halisi ilivyo na kutokana na maoni yao inaonesha nchi za Ulaya zinaathirika vibaya sana kuliko Urusi.

Sasa sijui tumuamini nani kati yako ww mlala hoi kutoka kwenye kinchi ambacho watu wake wanakufa kwa njaa ,na wachambuzi na wataalamu wa kiuchumi.
 
Anapigwa pande zote, anguko la Urusi litakua funzo kwa madikteta wote duniani.
Yanatoka makampuni ya mabeberu wengine wanaingia.......tena ni fursa kubwa kwa makampuni ya china na India ........
Screenshot_20220918-164815_RT News.jpg
Screenshot_20220925-081157_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220925-080959_Samsung Internet.jpg
 
Kwa hiyo Warusi wamepoteza ajira, Wajapani wamepoteza mauzo/uzalishaji.

Warusi wamepoteza zaidi ya ajira, na leo hii wanawindwa waende wakapigane, sijui wazungu wa Urusi walibugi wapi step, nafikiri ni athari za ujamaa, sio kama wazungu wengine, yaani wako hovyo sana.
 
Jana nilikuwa nasikliza kipindi cha maoni kwenye DWswihili wachambuzi waliobobea katika masuala ya kimataifa na kiuchumi tena wanaishi ndani ya nchi za Ulaya.
Waliongea hali halisi ilivyo na kutokana na maoni yao inaonesha nchi za Ulaya zinaathirika vibaya sana kuliko Urusi.

Sasa sijui tumuamini nani kati yako ww mlala hoi kutoka kwenye kinchi ambacho watu wake wanakufa kwa njaa ,na wachambuzi na wataalamu wa kiuchumi.
Tulikua pamoja mkuu mana jamaa wamechambua ukweli mtu, sasahivi ulaya viongozi wana shawishi wananchi wawe upande wao ila itafika mda haitawezwkana, ghalama za maisha ziko juu sana, hawakuzoea shida eti leo wayeseke sababu ya ukren, kina mambo makubwa yatatokea hivi karibuni.

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Jana nilikuwa nasikliza kipindi cha maoni kwenye DWswihili wachambuzi waliobobea katika masuala ya kimataifa na kiuchumi tena wanaishi ndani ya nchi za Ulaya.
Waliongea hali halisi ilivyo na kutokana na maoni yao inaonesha nchi za Ulaya zinaathirika vibaya sana kuliko Urusi.

Sasa sijui tumuamini nani kati yako ww mlala hoi kutoka kwenye kinchi ambacho watu wake wanakufa kwa njaa ,na wachambuzi na wataalamu wa kiuchumi.

Eti wachambuzi waliobobea nimekuuliza kule kwingine hao wachambuzi bado wanafanya nini huko West kama hali ni mbaya? Mbona wanaendelea kuganga njaa huko? Maana yake ni kuwa mambo yapo shwari kama sivyo basi kesho warudi Bongo ndiyo tutajua kweli uchumi una hali mbaya.
 
Jana nilikuwa nasikliza kipindi cha maoni kwenye DWswihili wachambuzi waliobobea katika masuala ya kimataifa na kiuchumi tena wanaishi ndani ya nchi za Ulaya.
Waliongea hali halisi ilivyo na kutokana na maoni yao inaonesha nchi za Ulaya zinaathirika vibaya sana kuliko Urusi.

Sasa sijui tumuamini nani kati yako ww mlala hoi kutoka kwenye kinchi ambacho watu wake wanakufa kwa njaa ,na wachambuzi na wataalamu wa kiuchumi.
Kama unazungumzia Short term effect Basi Uko Sawa. Nchi za Ulaya hasa Ujerumani kwa mda Mrefu zimekuwa zikitegemea nishati kutoka Urusi. Kwamaana hiyo,Kushindwa kwa nishati ya Urusi kufika katika nchi Hizo kutokana na vikwazo Ni wazi kwamba Kiuchumi,Mataifa hayo lazima yayumbe mpaka pale yatakapoweza kupata nishati kutoka sehemu nyingine.

Kwa upande mwingine,Urusi itapata hasara kubwa kwa kipindi kirefu kijacho. Wakati wewe unaongelea sekta moja TU ya Nishati ya Urusi ambayo ndio inayosikika kwasasa kwamba inafanya vizuri licha ya Vikwazo,je umewahi kujiuliza Sekta zingine za kibiashara huko Urusi Zina Hali gani? Au unafikili Urusi wanna Sekta moja TU ya Nishati? Ukiacha Sekta ya Nishati nchini Urusi,Sekta zingine zinakwenda Kufa na ziko Hali mahututi. Kuanzia Viwanda,Kilimo,Elimu,Sayansi,NK ziko Hali taabani.
 
Back
Top Bottom