vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MGOGOHALISI

    Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

    1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form 2. Ulazima wa kutafuta wadhamini 3. Ulazima wa majina matatu 4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
  2. Roving Journalist

    Dkt. Tulia Ackson aitaka Dunia kukabiliana na vikwazo vinavyowakwamisha Wanawake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
  3. The Zanzibar Echo

    Umoja wa Ulaya: Nchi 27 wanachama wa EU zakubali kurefusha vikwazo dhidi ya Urusi

    Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
  4. Echolima1

    Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  5. Echolima1

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  6. Komeo Lachuma

    Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Vikwazo vinaathiri Urusi kwa njia mbalimbali, hasa katika nyanja za kiuchumi, kiteknolojia, kifedha, na kisiasa. Hapa ni baadhi ya athari kuu: 1. Athari za Kiuchumi Kuporomoka kwa thamani ya ruble: Vikwazo vya kimataifa, hasa baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022, vilisababisha ruble kushuka...
  7. M

    Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  8. Genius Man

    Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  9. kavulata

    TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

    Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi. Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru...
  10. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  11. Waufukweni

    DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
  12. O

    VIONGOZI WA M23 NA MAKAMANDA WA JESHI LA RWANDA WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA ULAYA

    17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
  13. Ritz

    Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  14. Mateso chakubanga

    MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  15. Mateso chakubanga

    Baada ya Ubelgiji na Uingereza, Canada nayo yaiwekea vikwazo Rwanda kufuatia vita inayoendelea Congo

    Wakuu, Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC. Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya...
  16. Mateso chakubanga

    Bunge la Ubelgiji lapitisha azimio la kuiwekea Rwanda vikwazo

    Bunge la Ubelgiji limepitisha muswaada wa kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kutokana na mchango wake wa machafuko mashariki mwa DRC. Azimio hilo lenye kurasa 11 liliwasilishwa na mbunge wa ubelgiji mwenye asili ya DRC mutyebere Ngoi kutoka chama cha kishoshalisti limeungwa mkono...
  17. Mateso chakubanga

    Rwanda yalalamikia vikwazo vya Uingereza dhidi yake

    Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya kushutumiwa kuunga mkono machafuko nchini DRC kwa kutoa misaada ya kijeshi na zana kwa kundi la waasi la...
  18. Stunnaman008

    Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  19. kwisha

    Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  20. N

    Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

    Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
Back
Top Bottom