vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Vikwazo vinaathiri Urusi kwa njia mbalimbali, hasa katika nyanja za kiuchumi, kiteknolojia, kifedha, na kisiasa. Hapa ni baadhi ya athari kuu: 1. Athari za Kiuchumi Kuporomoka kwa thamani ya ruble: Vikwazo vya kimataifa, hasa baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022, vilisababisha ruble kushuka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

    Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi. Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
  7. O

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA M23 NA MAKAMANDA WA JESHI LA RWANDA WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA ULAYA

    17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  9. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  10. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ubelgiji na Uingereza, Canada nayo yaiwekea vikwazo Rwanda kufuatia vita inayoendelea Congo

    Wakuu, Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC. Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya...
  11. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ubelgiji lapitisha azimio la kuiwekea Rwanda vikwazo

    Bunge la Ubelgiji limepitisha muswaada wa kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kutokana na mchango wake wa machafuko mashariki mwa DRC. Azimio hilo lenye kurasa 11 liliwasilishwa na mbunge wa ubelgiji mwenye asili ya DRC mutyebere Ngoi kutoka chama cha kishoshalisti limeungwa mkono...
  12. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Rwanda yalalamikia vikwazo vya Uingereza dhidi yake

    Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya kushutumiwa kuunga mkono machafuko nchini DRC kwa kutoa misaada ya kijeshi na zana kwa kundi la waasi la...
  13. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  14. kwisha

    JamiiForums Tanzania Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

    Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
  16. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea tena vikwazo Kampuni zilizohusika kujenga Bomba la gesi la NordsStream 2

    Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa mwaka 2022. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuziwekea vikwazo kampuni zilizohusika kujenga bomba...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

    Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ni ngumu kukwepa vikwazo vya uchumi!

    Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi. Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi. Utalii ni sehemu kubwa sana ya pato la nchi. Pili nchi yetu inategemea sana misaada hasa Afya kwa mwaka...
Back
Top Bottom