vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Tanzania na Uganda zakubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara ifikapo Juni

    Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza ushirikiano wa kiuchumi. Ahadi hiyo ilitangazwa wakati wa chakula cha jioni cha rasmi kilichoandaliwa...
  2. A

    KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  3. Dalton elijah

    Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  4. H

    Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  5. gallow bird

    Dola inapoteza nguvu na tutashindwa simamia vikwazo ndani ya miaka mitano-Rubio

    Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo...
  6. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  7. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  8. Q

    Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  9. R

    Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
  10. Q

    Vikwazo tulivyowekewa na Marekani kuanza rasmi tarehe 01/01/2026

    Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries –...
  11. S

    Vikwazo vya Visa za China na Marekanki kwa Watanzania

    Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
  12. ngara23

    Juzi mlitwambia mmealika kamati ya bunge la USA, leo mmewekewa vikwazo vya kuingia USA

    Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo. Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
  13. Life2

    PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  14. Q

    Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
  15. Dr Adam Francis

    Ina maana gani hasa Mtanzania kufurahia vikwazo vya kimataifa kwa nchi yetu?

    Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu. Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na...
  16. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema. Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta kikombe, nenda pale, nipe hiyo. Hapo hakuna shida, na ni vizuri nchi nzima inaongea kwa kiswahili...
  17. M

    EU wasiishie hapo hapo. Waweke vikwazo vya kisiasa kwa hawa watawala wa Tanzania

    Ikiwezekana balozi zote za Tanzania huko ulaya zifungwe na mabalozi wote wafurushwe na kurudishwa Tanzania. Viongozi wote waliopo kwenye serikali hii wasikanyage nchi yoyote ya ulaya. Mmarekani nae agongelee msumali
  18. Lord Denning

    Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

    Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao. Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine 1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
  19. Lord Denning

    PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  20. adriz

    Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
Back
Top Bottom