vijana

  1. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  2. Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  3. Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  4. Elimu Yetu Inahitaji Kubadilishwa Kimsingi Ili Kusaidia Vijana Wetu

    Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu. Kwa muda...
  5. Vijana Hatujazoea Kulalamika, Lakini Haya Yanayotokea Sasa Ni Beyond Uvumilivu!

    Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi? Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
  6. PostGE2025 Vijana Tumechoka! Hii Nchi Si Mali ya Familia Zenu, Acheni Utoto wa Power!

    Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
  7. PostGE2025 DC Mpogolo: Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waleeni vijana ili wasitumike kufanya uhalifu

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na ubodaboda, umachinga na saluni; wanalelewa na kuratibiwa ipasavyo ili kuepusha uwezekano wa kutumiwa...
  8. Nanauka achana na hiyo njia ya maigizo ya kisiasa kupata attention ya vijana

    Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya. Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
  9. Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
  10. PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  11. Jaji Winfrida Korosso: Sheria zilizopitwa na wakati ni chanzo cha hasira kwa vijana

    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
  12. PostGE2025 Msingwa kuhusu 9 Disemba: Tunawasihi vijana wasifate mkumbo, tumejipanga kuhakikisha usalama unaimarishwa

    Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema: "Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani. "Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali...
  13. R

    PostGE2025 Baba Levo awakabidhi pikipiki vijana waliojiandika jina lake kwa rangi wakati wa kampeni

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
  14. G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  15. R

    PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  16. PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  17. PostGE2025 Malisa: Hakuna Mtu au Taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. Kama ilifanyika Vyombo vya Ulinzi ni DHAIFU

    Anandika Godlisten Malisa... "Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. "Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
  18. R

    PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
  19. PostGE2025 Jibu ni lipi kuhusu vijana walioandamana ni wakina nani?

    1. SIO WATANZANIA 2.WALIFUATA MKUMBO 3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE 4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji) 5.WALE NI WAHALIFU 6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI WAMEKOSA mnatuchanganya au ndio pressure imezidi.
  20. SI KWELI Heche: Vijana wizara mmepewa sasa ni kujipanga katika kukamatia fursa

    Wakuu, Ni kweli kauli hii imetolewa na makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…