Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana".
Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...