Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter".
Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...