vijana

  1. Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

    Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
  2. Majina ya kazi yanafanya vijana wachukie na kudharau kazi

    Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama 1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo) 2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji) 3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji) 4. Mzibua vyoo na...
  3. Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Salute, Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha. ✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo ✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha...
  4. Changamoto za Vijana Katika Ujasiriamali

    Ajira imekuwa changamoto kubwa kwa vijana katika siku hizi, Serikali inaendelea kuhamasisha vijana kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao wenyewe ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, vikwazo vya kifedha vinavyowakabili vijana hawa vimekuwa kikwazo kikubwa...
  5. Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  6. Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  7. Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

    Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi. Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram...
  8. Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

    Kuna msemo niliwahi kuusikia unasema "Siku hizi wachawi sio wazee". Nadhani huo msemo unaendana na hili tukio la vijana hawa kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa Uchawi. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  9. Video: Vijana wa Kipalestina waingia barabarani wakilaani HAMAS

    Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani. Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile movie za kihindi https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/ https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/
  10. Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  11. S

    Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  12. Dar inaongoza vijana watu wazima kuishi kwa wazazi wao

    Habari zenu, Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao. Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao. Vijana wengi wa Dar...
  13. Mitaji inatukwamisha vijana

    Mimi ni kajana niliye fanikiwa kusoma na kumaliza Bachelor ya Business Administration. Tangu kumaliza chuo (2022) hadi leo, nimebahatika kufanya kazi katika kampuni 4 zinazojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Nje. Kutokana na changamoto za kazi, ndo zilinifanya kuhama hama na hatimaye...
  14. K

    Vijana msikimbilie kuoa kabla hamja jitambua!

    Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika. 1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati 2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa...
  15. Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  16. Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  17. Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi...
  18. Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  19. Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…