Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
Wakuu asalaam aleykum!
Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk.
Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa, coffee
Energy drinks. Carbonated milk
Carbonated drinks. Kiti moto
Spirits...
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi.
Ni vizuri kutumia...
Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)
Karibuni kwa maoni
===================
Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
WOMEN, ATTENTION
$Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30.
$Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume.
$Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake.
$Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake
MEN, LUST
$Uza cha kumfanya mwanaume...
Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana!
Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika?
Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO)
Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike??
Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha...
KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
Salaam jamiiforum
Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao.
Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.