Vijana nawaombeni mniahidi mkichukua nchi kesho D9

Vijana nawaombeni mniahidi mkichukua nchi kesho D9

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,849
Reaction score
6,548
Mimi mzee wenu kijana wa zamani napenda kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa zamani kwenu Gen Z tulishindwa kupambana kuweza kuhalalishwa uvutaji wa bangi.

Siyo eti tulikosea hapana, tulijaribu tukashindwa kwa nia nzuri tu.

Hii kitu imetuuma sana vijana wa zamani. Waliotangulia walitamani sana uhuru wa mjani.

Ndio maana taifa halina mwelekeo hadi leo. Kwasababu ya mustakabal thabit wa jani la kondeni kutowekewa uhuru wa kuvutwa.

Hatimaye tarehe October 29 matumaini ya ndoto yangu ikaanza kutimia na nina uhakika kesho tarehe 9 mkichukua nchi mtahihalalisha na ikiwezekana jani liwekwe kama nembo kwenye bendera yetu mpya na taifa letu jipya.

Vijana msiniangushe natamani nife kishujaa nikijua tunu na baraka pekee katika maisha na mustakabal unabaki mkiwa na uhuru wa uvutaji.

Mimi mzee wenu Thadayo.

adriz hydroxo Beira Boy Mjusi Sharobalo Marco Seth secretarybird BICHWA KOMWE -
 
Back
Top Bottom