vijana

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

    Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
  2. JamiiForums Tanzania Njia zinazoweza kutupatia mitaji vijana

    Vijana wengi tumekuwa tukitoa kutokuwa na mtaji ndio excuse ya kuto fanikiwa kwenye biashara ,ni kweli mtaji ni kama fuel kwenye vehicle pia biashara inahitaji vitu Kama mtaji , plan,na mind set ya mtu yaani ule utayali wake wa kufanya biashara...Sasa tukiachana na hivyo vingine tungalie tu mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

    Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
  4. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    Habari wakuu? Hawa vijana wa kisasa wanajua mambo haya kuwa uzinzi na uasherati ndio uliosababisha sodoma na gomora kuchomwa? Dhambi ya uzinzi na uasherati imewapeleka watu wengi motoni na wataendelea kwenda, wokovu upo bado hizi anasa na tamaa za kimwili zina mwisho wake lakini maisha yako...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

    Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali turekebisiheni Sheria ya Usajili wa Blogs vijana tujiajiri

    Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini, Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Je mbinu gani zitumike kutengeneza ajira kwa vijana wetu

    Ni jambo lililo wazi kuwa jamii yetu inakabiliwa na tatizo kubwa sana la ajira. Takwimu zisizo rasmi zinasema kila vijana 2 kati ya 3 wanaohitimu elimu za juu wanakosa ajira katika mambo wanayoyasomea na kurudi mtaani kufanya shughuli zinazofanywa na watu wasiosoma. bila kujiingiza kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla kijana hujalalamika ajira, Je unaaaminika?

    Hii video ni jamaa wa Kenya,anayolalamika ni mambo yanayotokea Tz kwa kiwango kikubwa sana. Mtakubaliana na mimi kuwa Kundi kubwa la vijana hawaaminiki na kuwapa kazi katika shughuli zetu za ajira binafsi, ujitoe akili. Nazungumzia ajira ndogo ndogo kama Salon, Mpesa, Duka, shamba, gari...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wa Kitanzania ni mfano wa Dhahabu safi isiyong'aa!

    Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu mambo yanayofanya Wajasiriamali/Wafanyabiashara wadogo wadogo washindwe kufikia malengo

    Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao. Mjasiriamali ni nani? Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vijavyo vinaangamia kwakushindwa kuelewa maana halisi ya neno "Elimu"

    Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
  19. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…