vigogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekana vigogo wanachepusha maji yasiingie Mtera

    Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli? Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
  3. JamiiForums Tanzania Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

    Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa. Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo UPDATES ======= Michango yao si haba ...
  4. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi uzinduzi wa kufungua daraja ulivyowaibisha hawa vigogo

    Hii sijui ni comedy au ni reality ila either way hii inajumuisha mustakabali wa miradi mingi ambayo inakuwa chini ya viwango katika nchi za kiafrika kutokana upigaji.
  5. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  6. JamiiForums Tanzania Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua

    Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro. 1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua. 2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali. 3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi. 4... Tuendelee kuliat...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

    1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe. 2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vigogo na Watoto wa Vigogo wana mitaji lakini mbona hawajiajiri?

    Kwanza nikiri watoto wa vigogo wengi wamesoma sana na wana bidii sana kwenye masomo. Zamani niliaminishwa vijijini kwamba watoto wa matajiri hawapendi shule na kwamba huwa wanafeli. Baada ya kusogea mbele ki elimu nikahama mkoa niliokuwa naishi huko vijijini nilikutana na ulimwengu wa tofautu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa. Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

    Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha. Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  14. JamiiForums Tanzania Vigogo waliopo nyuma ya Mawakili waliofungua kesi kupinga mkataba wa bandari mkoani Mbeya

    C&P, From;- #Kigogo! a.k.a mzushi. Taarifa za kuaminika kutoka chanzo chetu ndani ya mahakama kuu ni kuwa kesi ya ubabaishaji iliyofunguliwa na kundi la mawakili wakiongozwa na Boniface Mwabukusi inayotegemewa kutolewa hukumu hivi karibuni IMEFYEKELEWA MBALI kwa kukosa vigezo na hoja zake...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yapewa nafasi ya mwisho kesi vigogo wa bandari

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa nafasi ya mwisho kwa Serikali kabla ya kutoa uamuzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake watano. Hatua hiyo inatokana kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya waliokuwa vigogo NIC yakwama mara ya pili mfululizo

    Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani. Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
  17. JamiiForums Tanzania Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha. Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  18. JamiiForums Tanzania Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

    Salaam kwenu wote, Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953. Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…