vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  2. JamiiForums Tanzania Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  3. JamiiForums Tanzania Spain: Idadi ya vifo yapindukia 200 Wakati Timu Za Uokoaji Zikitafuta Watu Waliotoweka

    Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano. Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
  4. JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

    Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa. Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases...
  5. JamiiForums Tanzania CRIME STORY: Namna kujichanganya na huyu binti, kunyimwa kolabo kulivyokuwa sababu ya vifo viwili na kukamatwa watu 6 kwa kesi ya mauaji

    NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI: Binti anaitwa Jania Meshell Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae. Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu alianza kudate na rapper mwingine ambaye anaitwa king von. King von ambaye alikuwa tayari ameanza...
  6. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  7. JamiiForums Tanzania Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa uendeshaji wa Hizbullah huwa hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao.

    Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao wakuu. Kutokana na mfumo huo nafasi yoyote inayoaachwa wazi basi huwa kuna makundi ya waliotayarishwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Vifo vimezidi

    Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa. Tanzania amka. Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita. Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
  12. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Urusi laua watu 41 Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  14. JamiiForums Tanzania Kulingana na Deathmeters.info hivi ndivyo visabishi vikuu 20 vya vifo duniani.

    Hadi sasa mwaka huu 2024, watoa roho wakubwa walioongoza ni hawa: 1: Matatizo ya moyo 2: Stroke 3: Matatizo ya mapafu 4: Nimonia 5: Alzheimer na Dementia (kuathirika kwa akili na kazi zake muhimu) 6: Kansa ya mapafu 7: Kisukari 8: Ajali za bara barani 9: Magonjwa ya kuharisha 10...
  15. JamiiForums Tanzania Toka uzaliwe umeshudia vifo vingapi? Jiulize kwa nini siyo wewe?

    Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
  16. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia. Mbaya zaidi hata...
  17. JamiiForums Tanzania HAMAS walegeza masharti huku vifo vya Wapalesina vikifikia 38,514

    Yaani watu 38,514 kuuawa sio mchezo, hesabu mmoja mmoja mpaka unafikia hiyo namba, na yote hiyo kisa ujinga wa kidini uliofanywa na HAMAS magaidi wa uislamu, sasa wanalegeza misimamo huku wakiendelea kuuawa................ Hamas on Saturday tentatively accepted a US-backed proposal for a phased...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akanusha mauaji ya ziada, athibitisha vifo 6, majeruhi 14 kwenye maandamano

    President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuna vifo vingine vinasababishwa na moto na kuvuta hewa ukaa. Jeshi la zimamoto uokoaji na wadau wengine tutoe Elimu kwa wananchi

    Taarifa fupi ya tukio la Ajali ya Moto iliyotokea nyumbani kwa mtumishi Zuberi Hassani Msemo Jambo afande. Naomba mpokee taarifa hii ambayo imewasilishwa kwa afande CC pia kwa taarifa yenu pia. Waliofariki 1. Mariam Zuberi Msemo - 1st Born 2. ⁠Salma Zuberi Msemo - 2nd Born 3. ⁠Bisma Zuberi...
  20. JamiiForums Tanzania TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…