Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 900 Reaction score 3,112 Aug 13, 2024 #1 Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,209 Reaction score 121,813 Aug 13, 2024 #2 Bila shaka muda huu utakua umeshiba tayari,ukashushia na kichupa cha togwa na kubugia tumbaku chini ya ulimi, Ndio ukaingia JF na kuanzisha huu uzi.
Bila shaka muda huu utakua umeshiba tayari,ukashushia na kichupa cha togwa na kubugia tumbaku chini ya ulimi, Ndio ukaingia JF na kuanzisha huu uzi.