vifaa

  1. JamiiForums Tanzania Irene Ombeni Mwanadada anayefanya ufasi kwa kujitolea apatiwa vifaa vya usafi na Mbunge

    Baada ya kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv kumfungulia dunia Kijana ๐—œ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ข๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ป๐—ถ kwa kufanya nae mahojiano na jamii kuona anachokifanya, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mhe. ๐—›๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ (haransanga_) amemuwezesha Mwanadada Kijana ๐—œ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ข๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ป๐—ถ vifaa vya kisasa vya usafi wa mazingira, ikiwemo...
  2. JamiiForums Tanzania Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  5. JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  6. JamiiForums Tanzania Tanganyika hakuna vifaa & abiria kuihudumis A380

    Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Vifaa 3 muhimu kwenye utengenezaji wa incubator ya kutotolesha mayai

    UTENGENEZAJI WA INCUBATOR YA KUTOTOLESHA MAYAI Unapotengeneza homemade incubator, siyo tu kuweka bulb ya joto ndani ya boksi na kutegemea mayai yatotolewe. Mfumo wa kudhibiti joto na unyevu una nafasi kubwa kwenye matokeo ya utotoleshaji. Kuna vifaa vitatu ambavyo vinaweza kufanya mfumo wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

    The Jerusalem post Agosti 30, 2026. Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law School of Tanzania wanaofanya mitihani watakaguliwa kama wana vifaa vya Kielektroni

    Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  12. JamiiForums Tanzania Fundi TV na vifaa vya umeme

    FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME.. KAMA TV YAKO INA SHIDA YOYOTE TUNATENGENEZA KWA UHAKIKA NA HARAKA ZAIDI.. KAMA TV HAIWAKI INAWAKA INATOA MWANGA TU INAWAKA MISTARI PICHA INACHEZA CHEZA INAWAKA KITAA CHEKUNDU IMEKUFA MOTHER BOARD POWER SUPPLY BACKLIGHT TV AINA ZOTE TUNA DEAL NAZO TUNA HUDUMA YA...
  13. JamiiForums Tanzania DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro โ€” Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  15. JamiiForums Tanzania Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1โ€“11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700โ€‘15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4โ€‘2133MHz / PC4โ€‘17000 SOโ€‘DIMM ya laptop, 260โ€‘pin 1.2V, Nonโ€‘ECC, Unbuffered...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za zabuni (tenders)na usambazaji wa vifaa vya ICT

    Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Vifaa vya utengenezaji wa incubator vinapatikana

    Unatengeneza incubator au unahitaji kuboresha incuvator yako. Tunakuletea vifaa muhimu kwa ajili ya kutengeneza incubator yenye ufanisi. โœ… Temperature & Humidity Controller (XK-W1099 na STC-3028) โœ… Temperature Controller (XH-W3002) โœ… Temperature & Humidity Reader (FY-12) โœ… Humidifier Mistmaker...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa Used Vya Ujenzi Vinaendaga Wapi?

    Kwema wakuu? Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae? Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Tunauza Slot machine (Bonanza, Dubwi) pamoja na vifaa

    Tunauza vifaa vya slot machine kwa majina tuliyozoea kama madubwi au Bonanza ghalama zinaania 1.5- 2.7m Contact 0745266680 Dar es salaam na tunatuma Tanzania mikoanyote pamoja na nchi jirani kama Congo, Zambia, Burundi, Malawi, Angola na Uganda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ