Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na...