video

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

    Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake. Nini maoni yako? 📹 AyoTv
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mwizi kapatikana, kwa adhabu hii harudii tena

    Wananchi wamemwambia Mwizi "sisi hatukupigi hata kidogo, ila we amisha maji kwenda ndoo nyingine kisha ondoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  3. JamiiForums Tanzania Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

    Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa. Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

    Hili ni tukio la kweli. UNYANYASAJI KWA WATOTO NI KOSA KISHERIA, TOA TAARIFA UNAPOONA MATUKIO YA NAMNA HII KWENYE JAMII.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

    Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona. Tulipocheza nao tulifungwa...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Benki wameingia cha kike baada ya kutoa mkopo wa 50 Milioni

    Utapeli ni janga kwenye jamii yetu, angalia hapa jinsi jamaa alivyowatapeli Benki mkopo wa 50 Million. Nini maoni yako?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio maana halisi ya Fear Women

    Wanawake sio watu wa mchezo mchezo, kuwa makini sana na kiumbe kinachoitwa Mwanamke. ANGALIA VIDEO HAPA
  8. JamiiForums Tanzania Video: Utukutu wa Messi uwanjani

    Angalia hapa jinsi Lionel Messi anavyoleta usumbufu uwanjani. Nini maoni yako?
  9. JamiiForums Tanzania Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  10. JamiiForums Tanzania Video: Padri ampiga mtoto kofi

    Angalia hapa jinsi Padri alivyompiga mtoto kofi kwenye madhabahu.
  11. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuandaa video fupi ya dakika 15 ambayo ni kama mini-series?

    ...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Makonda alivyoingia na Mkokoteni wilayani Hai

    Angalia hapa jinsi Makonda alivyoingia kwenye mkutano na Mkokoteni wa Ndizi. Nini maoni yako? 📹 WasafiTv
  13. JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    Mchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata. Nini maoni yako?
  14. JamiiForums Tanzania Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

    Video hiyo hapo Update: 28/01/2024 https://www.instagram.com/p/C2kWfSMtkKS/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
  16. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

    Umegundua kitu gani kwenye hili Gwaride la maaskari.?
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  18. JamiiForums Tanzania Video: Angalia sherehe ya Ngosha ilivyokuwa

    Msukuma kavuta Jiko na hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya Sherehe.
  19. JamiiForums Tanzania Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake. Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.
  20. JamiiForums Tanzania Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

    Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…