video

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inapita hatua 4 kubwa, Wewe upo hatua gani?

    Sikiliza kwa makini
  2. JamiiForums Tanzania UZI MAHSUSI: Zilipendwa, audio/ video/ mashairi lyrics). Karibu upate burudani.

    Huu ni Uzi maalum wa kupata flashbacks za nguvu kutoka nyumbani Tanzania Na hata nje ya Tanzania. Karibuni kwa audio, video Na lyrics..
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Video: Huu haukuwa uchaguzi bali hii ilikuwa operesheni nyakua madaraka

    Video Courtesy: SK Media Online TV ➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini huu haustahili kuitwa uchaguzi bali "operesheni nyakua madaraka" ➡ Huu haukuwa uchaguzi bali...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Dunia ilivyoumbwa

    Sikiliza vizuri msomi
  6. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  8. JamiiForums Tanzania Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

    Wakuu, Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum. Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  10. JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

    Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
  11. JamiiForums Tanzania Video Ile ya yaya nimeipeleka Polisi.

    Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi. Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
  12. JamiiForums Tanzania Video: Robert F Kennedy Jr afichua chanzo cha vita vya Ukraine

    https://youtu.be/LD6kvDHbIYY?si=7sv2Yv9AeEDde3Er Uhusiano kati ya wauzaji wa silaha na vita vinavyoendelea ni mada ya mjadala mkubwa na wasiwasi. Biashara ya silaha, halali na haramu, inachukua jukumu ngumu katika kuzidisha na kusaidia migogoro kote ulimwenguni. Hapa kuna baadhi ya mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

    Wakuu, Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana. Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500 Kwanini wafunge barabara? Kwanini...
  14. JamiiForums Tanzania Hii video inasikitisha sana

    Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟‍♀️ Kuzaliwa Africa ni laana.
  15. JamiiForums Tanzania Video: Endeleeni kuutamani utajiri. Litawakuta jambo

    Ila kuliko kufa maskini, ni heri tu kuishi na kiumbe huyu ndani kwa kweli Umaskini ni mbaya sana, bora kufa kiume
  16. JamiiForums Tanzania Idd Amin Nduli Dada alikipenda kiswahili hivi?

    Wakuu wa JamiiCheck msaada tafadhali tupate uhalisia wa hii video kama imetengenezwa au ni ya kweli
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Video inayoonesha wanaodaiwa kuwa ni wezi wanachomwa moto ni Arusha

    Wakuu naomba kufahamu uhalisia wa hii video nimeona ikipostiwa mtandaoni kuwa ni wezi wanachomwa huko Arusha
  18. JamiiForums Tanzania Tazama video hii kisha toa maoni yako

  19. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  20. JamiiForums Tanzania Video: Benson Kigaila ampiga dongo Mch. Msigwa, asema njaa ya tumbo ikihamia kichwani unakuwa na matatizo

    Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…