Usikute mke wa mtyu uyo
Na kashaumbuliwa hapo,Usikute mke wa mtyu uyo
Aulizwe Miso MisondoAisee,,karukaje hapo
hao watengeneza content tu kuharibu dini za watuAkiiona Maghayo atawasumbua sana wale nduguze katika imani.
We ni ME au KE?Usikute mke wa mtyu uyo
Kwanini wanaharibu dini za watu? Wametaja wapi dini hapo mkuu? Dini gani inaharibiwa na kwanini iharibiwe?hao watengeneza content tu kuharibu dini za watu
Exactly, ipo staged kabisa, upuuzi tuhao watengeneza content tu kuharibu dini za watu
uliona huyo jamaa aliyemtag Maghayo na komenti yake? Ungekuwa unaelewa Maghayo au Accumen Mo walivyo ungeeeleewa Kwanini jamaa kamtaja Maghayo na Kwann nimekomenti hivyo.Kwanini wanaharibu dini za watu? Wametaja wapi dini hapo mkuu? Dini gani inaharibiwa na kwanini iharibiwe?
Ni utani tu 😅😅uliona huyo jamaa aliyemtag Maghayo na komenti yake? Ungekuwa unaelewa Maghayo au Accumen Mo walivyo ungeeeleewa Kwanini jamaa kamtaja Maghayo na Kwann nimekomenti hivyo.