video

  1. JamiiForums Tanzania Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  2. JamiiForums Tanzania Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

    Wakuu Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
  3. JamiiForums Tanzania Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

    Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  6. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  7. JamiiForums Tanzania Video: Wananchi Kenya wavamia ubalozi wa Tanzania kutokana na Wakenya kushikiliwa na kuzuiwa kuingia Tanzania

  8. JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  9. JamiiForums Tanzania Video: Kuna Jambo Halipo Sawa Hapa, Either Tumekosa Uelekeo Au Uelekeo Umetukosa Sisi. Hii Ni Dharau Kubwa Sana

    Kama Nipo Sahihi Hapo Mbele Ni Gari Ya Polisi... Je Polisi Wanafanya Biashara Ya Kukodisha Hizo Gari Za Ving'ora? Au Kuna Vigezo Gani Vimetumika Kumpa Huyo Dogo Msafara Wa Polisi? Kabla Hatujalaumu Tunaomba Jeshi litoe ufafanuzi, ili tujue ni money talks kama anavyosema au lah... Maana siku...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu kuna site yoyote ya free ya AI inayogeuza still picture kuwa AI video

    Kichwa cha thread cha husika,natafuta site isiyo ya kulipia,itakayokuwa inaniwezesha kubadili still picture kuwa AI Video.Natanguliza shukrani
  11. JamiiForums Tanzania Video: Hamas Al-Qassam vikiwalenga wanajeshi na magari ya Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025. Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
  12. JamiiForums Tanzania Video: This is the future of education.

  13. JamiiForums Tanzania Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Mbunge aomba barabara ya lami, ajibiwa ni muda wa kuaga kuelekea uchaguzi na si kuomba barabara

    Born-town wanamcheka mwenzao anayeulizia Barabara Bunge hili. Kwa kumkumbusha biashara ya kujali wananchi ilishaisha kitambo! Aisee nawahurumia watakaoenda kupanga folen tena.
  15. JamiiForums Tanzania Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; 🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza 🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi 🎤Ipi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  17. JamiiForums Tanzania Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
  18. JamiiForums Tanzania Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii inaonesha watu wakikimbia baada ya kushuka kwenye kivuko Kigamboni

    Wakuu nimekutana na hii video mtandaoni mara nyingi na inadaiwa kuwa ni kivuko cha kigamboni ambapo watu wakishuka huwa wanakimbia kwa spidi kama inavyoonekana kwenye video hiyo. JamiiCheck uhalisia ni upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…