video

  1. B

    JamiiForums Tanzania Video making kit

    Habari za jumapili.... Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe, kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Enoki ameuwawa video yake imetrend Sasa raia wanaanza kuiga mfumo unavyoteka watu.

    Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Ambao hawakuona Tehran ikichakazwa na Israel Video hii hapa, kumbe magari ni Kama Makaratasi yanapepea hewani ''Kaboom''

    https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4 Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia. Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
  4. B

    JamiiForums Tanzania vifaa vya kurekodia sauti na video vinauzwa

    Hii nzuri kwako njoo na 25k Mawasiliano 0781 493401 000 tu uchukue
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya tangazo la Salim Kikeke na Zitto Kabwe wanapigia chapuo jukwaa la uwekezaji mtandaoni

  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

    Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh

    Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh *Sifa zake Video converter video downloader Picture converter Audio converter Document manipulation Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii video kuna mambo zaidi ya manne kama Taifa tunapaswa kujadili kama agenda kuu

    1. Umri wa mteja (moral decay) 2. Lugha ya mteja,(moral decay) 3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha. 4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei to speak in a video message soon By Reuters

    Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon By Reuters Today, 12:56 pm Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message, his first message since Washington announced a ceasefire between Iran and Israel, his account says.
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TBT; DC Londigo: Serikali ilihusika wagombea kupita bila kupingwa 2020

    DC Longido akiri hadharani "Serikali ilihusika wagombea wa CCM kupita bila kupingwa 2020"
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Miamba imeporomoka watu wakiwa wanapanda

    Wakuu nimekutana na kipande cha video kikionesha wanaoonekana watalii wakipanda miamba na kishawanadondokewa na miamba hiyo ni halisi?
  14. Five55

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jee hii video ni jibu toshelevu kwa machawa?

    Huyu jamaa kajibu hoja za machawa dhidi ya wakosoaji wa watawala? 👇
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Ubia unaziba Fiscal hole ya Serikali

    == Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae. Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi...
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

    Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
  18. Chai na Uji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
Back
Top Bottom