Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya.
Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana.
Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye.
Source: TRT AFRIKA
Habari za jumapili....
Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe,
kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4
Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia.
Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh
*Sifa zake
Video converter
video downloader
Picture converter
Audio converter
Document manipulation
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon
By Reuters
Today, 12:56 pm
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message, his first message since Washington announced a ceasefire between Iran and Israel, his account says.
Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema,
Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
==
Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae.
Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi...