video

  1. JamiiForums Tanzania Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

    Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
  2. JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  3. JamiiForums Tanzania Video: Mbinu mpya na hatari ya Vibaka.

    GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

    Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana! Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm. Ama hakika CCM inakubalika sana.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Gen Z wa Uholanzi wana Vituko.

    Bonge kafunga goli kali madogo wakawehuka. Acha wafurahie ujana wao. adriz The Consigliere
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya bodaboda wanaotoa ushuhuda kuhusu barabara imetengnezwa kwa Akili Unde

  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  9. JamiiForums Tanzania Nitatoa tamko kuhusu video ya anayedaiwa kuwa kapteni wa jeshi la anga

    Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa. Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga. Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Huu ndio uwanja uliopo Msoga unaotakiwa kujengwa kumuenzi Mzee Kikwete

    Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon. Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20. Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO (1MB): FLAVOURED PUNCHES

    Benjamin Whitaker nainjoi Sana pambano zake.
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ya paka juu ya bawa la ndege ni halisi au tunapangwa, na kama ni halisi inawezekanaje?

    Watu wa JamiiCheck kwakweli tunahitaji msaada wenu katika hili, hii video ni halisi au wana wanajaribu kutuchezea, na kama ni kweli inawezekanaje?
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Wa Video Za Kuelimisha

    Wapendwa hapa nitakuwa napost video mbali mbali ambazo zitakuwa na manufaa na kuelimisha mambo mbali mbali ya kila siku Leo tuanze na hii:
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza uchunguzi wa video ya Askari kulala chini, madai ya rushwa na mateso

    Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  17. JamiiForums Tanzania Je video hii ni kweli au AI?

    Ni kweli au AI? Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku Fuga App inakusaidia : kutunza rekodi za Ufugaji kiurahisi zaidi Inakusaidia kujua chakula kinaisha lini na pia kiwango cha chakula kwa siku ili usiwapunje au kuzidisha. Inakukumbusha chanjo kwa njia ya SMS siku moja Kabla na siku husika ili...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video Hekaheka za Kitila Mkumbo akisaka kura kwa wananchi

    Wakuu habari, Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  20. JamiiForums Tanzania Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

    Wakati Adv Mahinyila akipambana na Polisi, Godbless Lema akajifanya busy anakwenda kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Angalia clip hapa:- Wakati huohuo Elizabeth Mambosho mwanamama mjumbe wa mkutano mkuu CDM aliweza kumuokoa mwananchi kwenye kundi la askari 30. Angalia clip hapa:- Chuma hiki hapa;-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…