video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa Akili Unde

  3. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video nyingine ya Netanyahu yamuonyesha akiwa salama salmini, wachambuzi waliodai kafa waikosoa ni video feki

    Wachambuzi wamedai video ni feki kwasababu Mbwa habweki,
  5. R

    JamiiForums Tanzania Video: Lugha gongana ya mchina

    Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
  6. JamiiForums Tanzania Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tiktoker pressure 24/7 charged over video allegedly insulting CDF Muhoozi

    A Ugandan TikToker, Ibrahim Musana, has been charged with hate speech and unlawful access to personal data belonging to the first son and chief of defense forces (CDF), General Muhoozi Kainerugaba, following a video he posted on TikTok. Musana, who operates online under the alias Pressure 24/7...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeleta hii video wenye kujua watupe mwangaza

    Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa. Wachangiaji wote nilio fuatilia hakuna hata mmoja alietoa sababu za kutelekezwa gari hili. nimeleta labda tunaweza kupata ABC za...
  9. JamiiForums Tanzania Video hii inaonyesha jinsi saratani ya tezi dume huanza mpaka kukumaliza

    https://youtu.be/j9tJbO66lng
  10. JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wa Iran wakisherehekea kifo cha Khamenei

    Hapa ni Tehran, Iran . . Hapa ni London Kaskazini
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya Willy Ngoma akishambuliwa na drones, imetengezwa kwa kutumia Akili Unde

    Kuna video inayosambaa kwa kasi kwenye mtandao wa TikTok na majukwaa mengine, ikidai kuonesha dakika za mwisho za msemaji wa kundi la M23, Willy Ngoma, akishambuliwa na kuuawa na ndege zisizo na rubani (drones). Video hiyo inahusishwa na mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na jeshi la serikali ya...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  13. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  14. JamiiForums Tanzania TotalEnergies watoa ufafanuzi video inaonyesha watu wakitengeneza 'Oil fake' ya kampuni yao

    Ufafanuzi Kuhusu Video Inayosambaa: Operesheni ya FCC Dhidi ya Bidhaa Bandia Dar es Salaam, Februari 13, 2026 Total Energies Marketing Tanzania Limited inatoa ufafanuzi kuhusu muktadha wa video iliyosambaa mtandaoni ambayo inaonekana kuonyesha bidhaa bandia za vilainishi vya Total Energies...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii mtu kutembea juu ya maji ni halisi

    Wakuu hawa jamaa wanatupanga hapa au ni halisi?
  16. JamiiForums Tanzania Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao. Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
  17. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Wakuu Ni dosari gani zinazoonekana kwenye video hii? Mimi nimeona kadhaa mathalani watu wanavyojongea kama vile si halisi.
  18. JamiiForums Tanzania Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo video ya siku ya leo

    Bunge mfu marehemu?
  20. JamiiForums Tanzania Video: Man Fongo akitetea ulaji wa kitimoto

    hamis77 secretarybird kuna ex-communicado mwenzenu hapa😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…