Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa...