Nani mkali kati ya wasanii hawa wa kike, Nandy vs Vanessa

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee.

Niende moja kwa mmoja kwenye mtazamo wangu naona Vanessa ni bora zaidi kuliko Nandy,, ukiangalia kwenye sauti ,uchezaji jukwaani na anajua kulichangamsha jukwaa.

Nandy ni tofauti hana sauti, ni zile sauti za muda tu inakuja kukata baada ya muda na ukija kwenye uchezaji/kuchangamsha jukwaa Nandy hana mashamushamu hayo.

Huo ni mtazamo wangu, Nakukaribisha nawe kupata maoni/mtazamo wako
 
Vee money anaweza mambo ya swagg tu.. lakini kwenye mambo ya uimbaji hamkuti Nandy hata kidogo.. ile sauti ya nandy ni habari nyingine aiseeh.
 
Kwenye East Africa's got talent Vannesa aliitwa kuwa judge na Nandi aliitwa kama performing artist...fikiria mwenyewe hapo upate jawabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom