uzushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Hivi wale vijana wa CHADEMA waliofanywa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuhifadhiwa nchi jirani bado wapo?

    Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha? Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa? Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
  2. L

    Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  3. S

    Wanaharakati kuweni makini sana na Tanzania leaks wa mtandao wa X kwani taarifa zake nyingi ni uzushi na anawapotezea credibility

    Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu taarifa zake nyingi huwa ni za uzushi. Ni bahati mbaya sana wanaharakati na wanasiasa makini, hu-...
  4. PAYE

    GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  5. Mshana Jr

    Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
  6. ELI COHEN

    Nimekuwa traumatized, vp kwa upande wako?

    Wish u the best guys🕊️🕊️
  7. Davidmmarista

    Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  8. I

    Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  9. D

    Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

    Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa. Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema...
  10. Lexus SUV

    Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  11. L

    Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi. Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
  12. DuaZaMama

    TFF kujiuzulu kwa Wallace Karia ni taarifa za uwongo

    Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
  13. Fbn

    Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  14. Nyani Ngabu

    Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani. Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo. Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣. Huamini...
  15. mahindi hayaoti mjini

    Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

    Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi. Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme. TANESCO
  16. Moto wa volcano

    Watanzania huwa wepesi kuamini uzushi

    Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje. Wanasiasa wanaocheza siasa za...
  17. S

    Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  18. JamiiCheck

    Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  19. JamiiCheck

    Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

    Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu? Ili kujua Uhalisia wa Taarifa unazokutana nazo, tembelea Jukwaa la JamiiCheck
  20. L

    Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
Back
Top Bottom